Machapisho
MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA – DISEMBA, 2022) KWA MKOA WA MARA
PakuaKwa ujumla mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Mara. Mvua zinatarajiwa kuanza katika wiki ya nne ya Septemba, 2022. Mvua zinatarajiwa kuisha Januari, 2023. Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua