Machapisho
MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA – DISEMBA, 2022) KWA MKOA WA MANYARA
PakuaKwa ujumla mvua za Chini ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Manyara. Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya nne ya mwezi Oktoba na wiki ya kwanza ya mwezi Novemba, 2022. Mvua zinatarajiwa kuisha Januari, 2023. Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua