Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA VULI (OKTOBA– DISEMBA, 2022) KWA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Pakua

Kwa ujumla mvua za chini ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Kaskazini Unguja.

• Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya nne ya mwezi Oktoba na wiki ya kwanza ya mwezi Novemba, 2022.

• Mvua zinatarajiwa kuisha mwezi Januari, 2023.

• Vipindi virefu vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa katika msimu huu wa Vuli.