Machapisho
MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA (MACHI – MEI, 2022) KWA MKOA WA TANGA
PakuaKwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Tanga.
Mvua zinatarajiwa kuanza katika wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Februari, 2022.
Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu ya mwezi Mei, 2022.
Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa kujitokeza hususan katika mwezi wa Mei, 2022.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua