Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA (MACHI – MEI, 2022) KWA MAENEO YA KASKAZINI MWA MKOA WA MOROGORO

Pakua

Kwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya kaskazini mwa mkoa wa Morogoro.

Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Februari, 2022.

Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu ya mwezi Mei, 2022.

Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa kujitokeza hususan katika mwezi Mei, 2022.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua