Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA (MACHI – MEI, 2022) KWA MKOA WA KASKAZINI, PEMBA

Pakua

Kwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Kaskazini.

Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Februari, 2022.

Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu ya mwezi Mei, 2022.

Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa kujitokeza hususan katika mwezi Mei, 2022.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua