Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA (MACHI – MEI, 2022) KWA MKOA WA DAR ES SALAAM

Pakua

Mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Dar es Salaam.

Mvua zinatarajiwa kuanza kati ya wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Februari, 2022.

Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu ya mwezi Mei, 2022.

Vipindi vya ukavu vya siku (10) au zaidi vinatarajiwa kujitokeza hususan katika mwezi Mei, 2022.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua