Machapisho

MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA (MACHI – MEI, 2022) KWA MKOA WA ARUSHA

Pakua

Kwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Arusha.

Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya tatu ya mwezi Februari, 2022.

Mvua zinatarajiwa kuisha kati ya wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Mei, 2022.

Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa kujitokeza hususan katika mwezi Mei, 2022.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua