Machapisho
MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA (MACHI – MEI, 2022) KWA MAENEO YA KASKAZINI MWA MKOA WA KIGOMA
PakuaKwa ujumla mvua za wastani hadi juu ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya kaskazini mwa mkoa wa Kigoma.
Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Februari, 2022.
Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya pili ya mwezi Mei, 2022.
Vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi vinatarajiwa kujitokeza hususan katika mwezi Mei, 2022.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua