Habari

Imewekwa: Mar, 19 2023

UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU

UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU

Mamlaka imenunua Rada nne (4) za hali ya hewa ambapo ufungaji wa Rada mbili (2) katika mikoa ya Kigoma na Mbeya inaendelea. Aidha, utengenezaji wa Rada nyingine mbili (2) kiwandani nchini Marekani umefikia asilimia 63. Kukamilika kwa Rada hizi nne (4) za hali ya hewa kutakamilisha lengo la muda mrefu la TMA kuwa na Rada saba (7) za hali ya hewa kwa nchi nzima.


#MiwilinaSamia