24 Forecast
24 Forecast
HALI YA HEWA TANZANIA
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani yote; Kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo hadi makubwa kiasi. Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua hapa

