Sera ya Mfumo wa Ubora
Sisi, wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tumedhamiria kutoa huduma bora za hali ya hewa zinazokidhi au kuzidi matarajio ya wateja wetu na zinazozingatia miongozo ya kitaifa na kimataifa iliyokubalika, kwa kuendelea kuboresha taratibu zetu za kazi’

