Downscale Forecast
Downscale Forecast
Mwelekeo wa mvua za Vuli (OND) 2026 kwa mkoa wa Manyara na wilaya zake
Dondoo
- Msimu wa mvua za Vuli, 2026 unatarajiwa kuathiriwa kwa kiwango kikubwa na hali ya El Niño yenye nguvu kubwa.
- Kwa ujumla mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Manyara.
- Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Oktoba, 2026.
- Mvua zinatarajiwa kuendelea hadi mwezi Januari, 2027.
- Upo uwezekano wa kutokea vipindi vya ukavu vya siku kumi (10) au zaidi katika msimu huu wa Vuli.
Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua

