Tahadhari Pakua
VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA
ANGALIZO: VIPINDI VIFUPI VYA UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2 VINATARAJIWA KWA BAAADHI YA MAENEO YOTE YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).