Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU(NOVEMBA, 2025- APRILI,2026) KWA MKOA WA TABORA NA WILAYA ZAKE
PakuaDondoo
(i) Kwa ujumla mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Tabora.
(ii) Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Oktoba, 2025.
(iii) Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili na ya kwanza ya mwezi Mei, 2026.
(iv) Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2025 - Januari, 2026).