Machapisho
MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2025 – APRILI, 2026) KWA MAENEO YA KUSINI MWA MKOA WA MOROGORO
PakuaDondoo
(i)Kwa ujumla mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya kusini mwa mkoa wa Morogoro.
(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Novemba, 2025.
(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili na ya kwanza ya mwezi Mei, 2026.
(iv)Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2025 - Januari, 2026).