Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2025 – APRILI, 2026) KWA MKOA WA KATAVI

Pakua

Dondoo

(i)Kwa ujumla mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Katavi.

(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Oktoba, 2025.

(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili na wiki ya kwanza ya mwezi Mei, 2026

(iv)Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2025 - Januari, 2026).