Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2025 – APRILI, 2026) KWA MKOA WA MTWARA

Pakua

Dondoo

(i)Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Chini ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Mtwara.

(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Desemba, 2025.

(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili na ya kwanza ya mwezi Mei, 2026.

(iv)Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2025 - Januari, 2026).