Machapisho

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2025 – APRILI, 2026) KWA MKOA WA DODOMA

Pakua

Dondoo

(i)Kwa ujumla mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Dodoma.

(ii)Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Desemba, 2025.

(iii)Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya tatu na ya nne ya mwezi Aprili, 2026.

(iv)Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2025 - Januari, 2026).