Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2008 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

Mkutano wa 'WMO Excecutive Council' wafanyika Geneva, Uswisi kuanzia tarehe 10 hadi 17 Mei 2017.

Imewekwa:16 May,2017

Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ahudhuria Mkutano wa Sitini na Tisa wa Kamati Kuu ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO-Excecutive Council-69) unaondelea, Geneva, Uswisi kuanzia tarehe 10 hadi 17 Mei 2017.

Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa lakutana Dodoma

Imewekwa:05 May,2017

Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania lakutana Dodoma

KANUNI NA TARATIBU ZA MANUNUZI

Imewekwa:07 April,2017

MENEJIMENTI YA TMA YANOLEWA KATIKA KUTEKELEZA SERA NA MIKAKATI YA SERIKALI YA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UNUNUZI WA UMMA

MAFUNZO YA SHERIA NA KANUNI ZA MANUNUZI YA UMMA

Imewekwa:03 April,2017

MAFUNZO YA SHERIA NA KANUNI ZA MANUNUZI YA UMMA: Watendaji kutoka vitengo mbalimbali TMA wapatiwa mafunzo ya sheria na kanuni za manunuzi ya umma kutoka Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB).

SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI: NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AZUNGUMZA

Imewekwa:23 March,2017

SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI: Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano yazungumza na jamii kupitia vyombo vya habari tarehe 23 Machi 2017. Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani aliongea na wana habari katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.

Weather by Region

© 2017 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.