Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2008 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

TMA yaandaa Semina ya Wadau wa Hali ya Hewa Mahususi kwa Utabiri wa Mvua za Msimu wa Masika 2018

Imewekwa:19 February,2018

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania yaandaa Semina ya Wadau wa Hali ya Hewa Mahususi kwa Utabiri wa Mvua za Msimu wa Masika 2018 katika Makao Makuu ya ofisi zake zilizopo Dar es salaam

Utabiri Mvua za Masika Machi-Mei 2018

Imewekwa:15 February,2018

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania yatoa Utabiri wa Mvua za Masika katika kipindi cha Machi hadi Mei 2018

MKUTANO WA WADAU WA HALI YA HEWA KWENYE SEKTA YA USAFIRI WA ANGA

Imewekwa:02 December,2017

Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya TMA atoa neno kwenye mkutano wa wadau wa huduma za hali ya hewa katika sekta ya usafiri wa anga

Timu ya wakaguzi wa ndani wa QMS yapata mafunzo

Imewekwa:04 November,2017

Timu ya wakaguzi wa ndani wa QMS-TMA yapata mafunzo ya kujiandaa na ukaguzi wa mfumo wa utoaji huduma wa viwango vya kimataifa (ISO) kutoka katika viwango vya mwaka 2008 (ISO 9001:2008) kuelekea mwaka 2015 (ISO 9001:2015)

Mhe. Jenista Mhagama atembelea makao makuu ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

Imewekwa:22 October,2017

Waziri wa Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (MB) atembelea TMA kufuatilia utekelezaji wa Mradi wa Kuimarisha Mfumo wa Tahadhari za Majanga yanayosababishwa na Mabadiliko ya Hali ya Hewa unaofadhiliwa na UNDP.

Weather by Region

© 2018 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.