Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

ISO 9001:2015 Imethibitishwa Kutoa Huduma za Hali ya Hewa kwenye Usafiri wa Anga

Downscale Forecast

MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2025 – APRILI, 2026) KWA MKOA WA RUKWA

Dondoo

  1. Kwa ujumla mvua za Wastani hadi Chini ya Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mkoa wa Rukwa.
  2. Mvua zinatarajiwa kuanza wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Novemba, 2025.
  3. Mvua zinatarajiwa kuisha wiki ya nne ya mwezi Aprili na ya kwanza ya mwezi Mei, 2026.
  4. Upungufu wa mvua unatarajiwa katika nusu ya kwanza ya msimu (Novemba, 2025 - Januari, 2026).

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua