Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Najuaje utabiri wa hali ya hewa wa kila siku katika mikoa ya Tanzania

Mamalaka ya Hali ya Hewa hutoa utabiri wa hali ya hewa kupitia Luninga za hapa nchini,Vituo vya Redio, Magazeti pamoja na kwenye tovuti ya Mamlaka

Makao makuu ya Mamlaka ya hali ya hewa yako wapi?

Morogoro rd Kinondoni Ubungo plaza

nitakuwaje mtabiri

Upitie NMTC

Nini maana ya Data za hali ya hewa?

Ni taarifa halisi za

Ni upi ushauri wenu kwa wananchi iwapo mafuriko yatawakumba?

Ikiwa Mfuriko yatatokea tiunawashauri wananchi kukimbilia ameneo yaliyo juu kidogo ili kujikinga watoto wanaweza kupandishwa juu ya paa za nyumba.

Mkon an vituo vingapi vya kukusabya taarifa za hali ya hewa tanzania?

Tuko na vituo takribani 66 kwa tanzania yote. We have about 66 TMA Centres in tanzania, every ditrict has its centre.

Weather by Region

© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.