Ushauri Pakua

Upepo Mkali na Mawimbi makubwa.

ANGALIZO:

MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA KASKAZINI MWA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA TANGA, DAR ES SALAAM, PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA), PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.