Ushauri Pakua
MAWIMBI MAKUBWA
ANGALIZO la mawimbi makubwa yanayofikiamita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda
wa pwani ya kaskazini ya bahari ya Hindi (mikoaya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha
visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja naPemba).