Ushauri Pakua

MVUA KUBWA, UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA

ANGALIZO

1. Mvua kubwa limetolewa kwa maeneo machache ya mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi, Mtwara na kusini mwa mkoa wa Morogoro.

2. Upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi, Mtwara, pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).