Habari

Imewekwa: Mar, 19 2023

USAHIHI WA UTABIRI

USAHIHI WA UTABIRI

Katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, viwango vya usahihi wa utabiri wa hali ya hewa kwa ujumla vimeongezeka na kufikia asilimia 88.5, ambapo katika msimu wa mvua za Vuli 2022, viwango vya usahihi vilikuwa asilimia 94.1. Viwango hivi ni juu ya kiwango cha usahihi wa utabiri kinachokubalika na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) cha asilimia 70.


#MiwilinaSamia