Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania
ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services
Bodi ya Ushauri inajukumu la kuangalia shughuli za Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania na Kumshauri Waziri husika masuala mbalimbali yanayohusiana na Hali ya Hewa Tanzania.
Bodi hii ina wajumbe saba akiwemo mwenyekiti na Katibu ambaye ni Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Bodi hii pia ina Mjumbe kutoka Wizara wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi ambaye anaudhuria vikao vyote
© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.