Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Hali ya Hewa KilimoMamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inatoa huduma za hali ya hewa katika sekta ya kilimo ili kuongeza tija katika uzalishaji na

hivyo kupunguza hasara na hatari mbalimbali katika sekta ya kilimo.

Kilimo ni eneo la kipaumbele katika uchumi wa Tanzania kwakuwa kilimo nchini bado kinategemea kwa kiasi kikubwa mvua na

hali ya hewa kwa ujumla .

Taarifa za muda mrefu za hali ya hewa hutumika katika mipango wakati taharifa na takwimu za kila siku hutumika katikashughuli

za kilimo za kila siku .

Mamlaka ya Hali ya Hewa pia inahusika katika kutoa ushauri wa kitaalamu wa hali hewa katika kilimo kwa wananchi wote na

wenye mahitaji maalum

Weather by Region

© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.