Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Nifanyeje

  • Kujiunga na Chuo cha Hali ya Hewa kwaajili ya kupata mafunzo ya taaluma ya hali ya hewa?

    Ili kujiunga na chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa tafadhali wasiliana na mkuu wa Chuo kwa anuani ifuatayo: Mkuu wa Shule, Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma, SLP 301, Kigoma Au wasiliana na Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, S.L.P 3056, Dar es salaam au tutumie nukushi kwa nNa. +255 22 2460735, +255 22 2460700, au piga Simu Na. +255 22 2460706-8 (Saa za kazi tu

  • Weather by Region

    © 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.