Ushauri Pakua

Mawimbi makubwa

ANGALIZO.

MAWIMBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2.5 KWA BAADHI YA MAENEO YA UKANDA WA PWANI YA BAHARI YA HINDI (MIKOA YA LINDI, MTWARA, TANGA, DAR ES SALAAM NA PWANI (IKIJUMUISHA VISIWA VYA MAFIA) PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.

Kwa taarifa zaidi tafadhali pakua...