Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Marine Weather ServicesMamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inatoa huduma za hali ya hewa za Majini ikiwemo bahari ya Hindi na Maziwa Makubwa nchini Tanzania.


Wajibu wa Mamlaka ni kutoa taarifa na taadhari ya hali mbaya ya hewa baharini na kwenye maziwa makubwa ili kusaidia usafiri na usafirishaji wa mizigo, sambamba na kuokoa maisha ya watu na uharibifu na upotevu wa mali pindi inapotokea hali mbaya ya hewa ikiwemo upepo mkali,mawimbi makubwa n.k


Weather by Region

© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.