Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Huduma za Utabiri

Divisheni ya Huduma za Utabiri

Dkt. Hamza Kabelwa , Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri


Kazi za Divisheni ya Utabiri

Divisheni hii inahusika na kutayarisha na kusambaza utabiri wa hali ya hewa, Angalizo na tahadhari kwa Umma na wadau kupitia Kituo kikuu cha Utabiri. Wadau wenye mahitaji maalumu pia wanaweza kupata huduma wanazohitaji. Divisheni hii pia inahusika katika kutoa utabiri mahususi kwa ajili ya usafiri wa Anga na Majini. huduma za hali ya hewa kwa usafiri wa anga hutolewa kupitia ofisi za Mamlaka katika viwanja vya ndege nchini na huduma za usafri majini hutolewa kupitia ofisi za Mamlaka katika Bandari.

Ni jukumu la divisheni ya Utabiri kuendesha na kusimamia mtandao wa vittuo vya uangaziwa hali ya hewa nchini. Kituo cha tahadhari ya Tsunami hutoa tahadhari za kutokea kwa tsunami katika Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.Weather by Region

© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.