Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2008 Certified in Aviation Meteorological Services

Dr. Agnes Lawrence Kijazi

Mkurugenzi Mkuu

Tanzania Meteorological Agency

Karibu kwenye Tovuti yetu


Karibu katika Tovuti rasmi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Katika Tovuti hii ndio mahali pekee unapoweza kupata taarifa na huduma za hali ya hewa za kuaminika, za uhakika na zinazoendana na muda ambazo zinaweza kukusaidia katika shughuli za kijamii na kiuchumi.

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imejidhatiti k...>>>>Read More

All

31st March 2016 More

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania awapongeza wafanyakazi wa TMA kwa uboreshaji wa huduma za hali ya hewa katika BARAZA la wafanyakazi 2016 lilifanyika Dar es Salaam, Tarehe 30-31 Machi 2016

23rd March 2016 More

Kila mwaka tarehe 23 Machi Tanzania huungana na nchi nyingine wanachama wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) katika kuadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani , kauli mbiu ni ‘ Joto kali, Ukame, Mafuriko; Kabiliana na mabadiliko yajayo”

8th March 2016 More

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza awataka wanahabari kutumia fursa ya mafunzo ya El-nino na athari zake kwa kipindi cha utabiri wa msimu wa mvua za vuli 2015 kama chachu ya uboreshaji wa elimu kwa jamii.

3rd March 2016 More

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania imeeleza kuwa, mvua za Masika zinatarajiwa kuanza katika wiki ya kwanza na ya pili ya mwezi Machi 2016 katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa Viktoria na kusambaa katika maeneo mengine yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka.

All

30th March 2016More

Uongozi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na wawakilishi wa wafanyakazi wamekutana katika Mkutano BARAZA la Wafanyakazi 2016 na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo mafanikio na changamoto zinazoikabili Mamlaka na kujadiliana njia muafaka za kutat...

Tahadhari, Ushauri na Taarifa

30th April 2016 - Advisory

VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEOYA MIKOA YA KAGERA,GEITA,MWANZA,MARA,SIMIYU,SHINYANGA,KIGOMA,DAR-ES-SALAAM, TANGA,PWANI, MOROGORO PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA.

Weather by Region

© 2016 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.