Habari

Imewekwa: Aug, 07 2020

NANENANE 2020, SIMIYU

NANENANE 2020, SIMIYU

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano( Sekta ya Uchukuzi) Mhandisi. Leonard Chamriho akitembelea banda la TMA katika maonesho ya NaneNane 2020, Simiyu.