Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

 • TUKIO LA KUPATWA KWA MWEZI TAREHE 7 AGOSTI, 2017 LATOKEA KAMA LILIVYOTARAJIWA.

  Imewekwa: 11th August, 2017

  Taarifa hii inahusu tukio la kupatwa kwa mwezi lililotokea tarehe 7 Agosti, 2017.

  Tukio hilo lilitokea jioni ya tarehe 7 Agosti, 2017 kama lilivyotarajiwa kutokea na taarifa kutolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Kivuli cha Dunia kilianza kuonekana katika mwezi kati ya saa 2:22 hadi saa 4:18 usiku. Hali hii ilionekana katika maeneo mengi ya nchi ambayo hayakuwa na mawingu ikiwa pamoja na jiji la Dar Es Salaam. Baadhi ya picha zilizochukuliwa katika maeneo ya jiji la Dar Es Salaam kati ya saa 3.04 na saa 3.07 zilionyesha tukio hilo la kupatwa kwa mwezi. Picha hizo ni kama zinavyoonekana hapa chini.

  soma zaidi

  kupatwa kwa mwezi tarehe 8 agosti 2017 edited

 • Weather by Region

  © 2018 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.