Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

  • Mkutano wa 'WMO Excecutive Council' wafanyika Geneva, Uswisi kuanzia tarehe 10 hadi 17 Mei 2017.

    Imewekwa: 16th May, 2017

    Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa,Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Katika Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) na Mjumbe wa “WMO Excecutive Council” ahudhuria Mkutano wa Sitini na Tisa wa Kamati Kuu ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO-Excecutive Council-69) unaondelea, Geneva, Uswisi kuanzia tarehe 10 hadi 17 Mei 2017.

    Kwa undani wa taarifa hiyo, tafadhali bofya hapa press wmo ec69 kupakua


  • Weather by Region

    © 2018 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.