Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

  • WARSHA YA WADAU KUJADILI RASIMU YA MPANGO WA KITAIFA WA UBORESHAJI WA HUDUMA ZA HALI YA HEWA TANZANIA

    Imewekwa: 14th February, 2017

    TMA yaandaa warsha ya wadau wa huduma za hali ya hewa nchini ilifanyika tarehe 10 Februari 2017, Chuo Kikuu, Dar es Salaam. Mkutano huo umefanyika chini ya mwavuli wa Programu ya kimataifa ya kuboresha na kuimarisha utoaji na utumiaji wa huduma za hali ya hewa (Global Framework for Climate Services (GFCS)) nchini Tanzania. Lengo kuu ni kujadili na kuboresha rasimu ya mpango wa kitaifa wa uboreshaji wa huduma za hali ya hewa nchini (NFCS). Warsha hiyo ilifunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi na kuhuduriwa na wadau mbali mbali kutoka wizara na taasis za Serikali, mashirika yasiyo ya kiserikali,taasis za elimu, mashirika ya kimataifa na wataalam kutoka TMA.

    soma hotuba hapa hotuba ya dg wadau nfcs 10 def udsm swahili

  • Weather by Region

    © 2018 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.