Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

  • UTABIRI WA MSIMU MAENEO MADOGOMADOGO

    Imewekwa: 13th September, 2018

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yaendelea kupanua wigo wa kutoa utabiri wa msimu kwa maeneo madogo madogo ngazi ya wilaya. Zoezi la uandaaji wa utabiri huo kwa msimu wa Vuli 2018 katika wilaya za Kaskazini B Mkoani Kaskazini Unguja na Mvomero Mkoani Morogoro, limefanyika tarehe 10 hadi 13 septemba, 2018, kwa kushirikisha wataalam wa hali ya hewa na maafisa ugani wa wilaya hizo chini ya ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani USAID kupitia Shirika la Kimataifa la Chakula na Kilimo (FAO).

  • Weather by Region

    © 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.