Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

  • MKUTANO WA WADAU OND 2018

    Imewekwa: 03rd September, 2018

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeandaa mkutano wa wadau mbalimbali kwa ajili ya msimu wa mvua za Vuli (Oktoba hadi Desemba, 2018) ambao unalenga kupata maoni ya wadau jinsi utabiri wa Msimu wa Mvua za Vuli utakavyoweza kutumika katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii. Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Ushirikishwaji wa Wadau Katika Kuchochea Matumizi Ya Taarifa Za Hali Ya Hewa”. endelea humupress ond 2018 wadau

  • Weather by Region

    © 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.