Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

 • MKUTANO WA WADAU WA HALI YA HEWA KWENYE SEKTA YA USAFIRI WA ANGA

  Imewekwa: 02nd December, 2017

  Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya TMA Dkt. Buruhani Nyenzi atoa neno kwa kwenye mkutano wa wadau huduma za hali ya hewa katika sekta ya usafiri wa anga.

  Akizungumza katika ufunguzi amewataka wadau kuendelea kutoa maoni yao ili kuweza kuboresha huduma za TMA hususani katika usafiri wa anga.

  TMA imekutana na wadau hao tarehe 30 Novemba 2017 katika ukumbi wa mikutano wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Dar es Salaam.

  zaidi soma hotuba dr. nyenzi speech to customers' consultative meeting

 • Weather by Region

  © 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.