Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Uanachama

Wanachama wa Tanzanian Meteorological Society ni:

(1) Wanachama wa kawaida: Watakuwa ni wakazi wa Tanzania na wenye shahada katika Meteorology, Hydrology au taaluma zinazohusiana kutoka taasisi ya elimu ya juu, au mwenye cheti cha daraja la II cha Shirika la Hali ya Hewa Duniani au sifa inayolingana na hiyo na awe anayejihusisha na matumizi na maendeleao ya sayansi husika.

(2) Mwanachama Mshiriki: Atakuwa pia na sifa zifuatazo:-

Weather by Region

© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.