Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Klaimatolojia na Mabadiliko ya Hali ya Hewa

Taarifa za hali ya hewa zinaweza kutumika kupunguza baadhi ya athari zinazosababishwa na binadamu. Katika kupanga uchumi na maendeleo ya viwanda viashiria vya hali ya hewa hupewa kipaunmbele.


Mamlaka ya Hali ya Hewa in jukumu la kukusanya, kuhakiki ubora wa takwimu, uhifadhi na matumizi ya takwimu zake. Halikadhalika huchambua na kutoa machapisho kwa ajili ya kukidhi mahitaji mbalimbali.


Mabadiliko ya hali ya hewa ni suala linaloshughulikiwa kwa ukaribu zaidi ambapo uchambuzi hufanyika ili kubaini mwenendo wa mabadiliko ya hali ya hewa. Tabiri za misimu zinazotolewa na vituo vya Kimataifa vya Hali ya Hewa , zinatafsiriwa na kukubalika kwa matumizi ya Taifa na zitasaidia katika kupanga shughuli za kijamii.


Majukumu ya kitengo cha Klaimatolojia na Mabadiliko ya Hali ya HewaWeather by Region

© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.