Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania
ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inatoa taharifa na huduma mbalimbali kwa ajili ya usalama wa usafiri wa Anga kitaifa na kimataifa
Huduma zinazotolewa na Mamlaka katika sekta ya usafiri wa Anga zinahusisa tabiri za kusaidia ndege kupaa, kutua na kuruka angani kati ya kiwanja cha ndege kimoja na kingine.
Huduma zetu husaidi kupunguza gharama za usafirishaji wa anga na kuhakikisha usalama kwa wasafiri na mali zao. Kwa Huduma za hali ya hewa katika usafiri wa Anga, tafadhali bonyeza hapa chini http://www.meteo.go.tz/ais
© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.