Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Ufundi

Divisheni ya Huduma za Ufundi

Divisheni hii inawajibu wa kuhakikisha miundombinu yote na vifaa vya hali ya hewa vinakuwepo na kufanya kazi katika hali ya ubora, Aidha divisheni hii inapaswa kuhakikisha shughuli zote za kioperesheni na shughuli saidizi zinafanywa katika ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu na hivyo kuiwezesha Mamlaka kutoa huduma bora za hali ya hewa nchini Tanzania


Divisheni hii inafanyakazi ikiwa na sehemu zifuatazo:

  • TEHAMA
  • Ubora na Mtandao wa vituo na
  • Huduma za ufundi (Uhandisi na Vifaa)

Sehemu zote tatu zinaongozwa na Mameneja na Divisheni hii inaongozwa na Mkurugenzi wa Ufundi ambaye ni Dkt. Pascal Waniha


Weather by Region

© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.