Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Zanzibar Office

Ofisi ya Zanzibar

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania Ofisi ya Zanzibar inaratibu shughuli zote za hali ya hewa visiwani Unguja na Pemba.

Baadhi ya huduma zitolewazo na ofisi hii ni;

     1. Uangazi wa hali ya hewa visiwani
     2. Kutoa na kusambaza taarifa mbalimbali za hali ya hewa visiwani
     3. Huduma za hali ya hewa kwa usafiri wa Anga na majini

Ofisi ya Zanzibar inaongozwa na Mkurugenzi ;ambaye kwa sasa ni Ndugu Mohamedi Ngwali

Weather by Region

© 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.