Habari

Imewekwa: Dec, 13 2019

TMA yazidi kung'ara katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya Hali ya Hewa (UNFCCC-COP25).

TMA yazidi kung'ara katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya Hali ya Hewa (UNFCCC-COP25).

Dkt. Agnes Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) amekuwa katika jopo la wataalamu kujadili athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa jinsia tofautiKwa upande mwingine, Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi-TMA na 'IPCC-focal point's Dr. Ladislaus Chang'a ameshiriki katika mjadala wa umuhimu wa mawasiliano (communication) ya mabadiliko ya hali ya hewa.Maeneo yaliyoathirika zaidi na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na ya kutolea mfano ni Asia, Afrika na Visiwa vya Bahari ya Pasifiki