Habari

Imewekwa: Dec, 09 2019

COP25

COP25

Mkurugenzi Mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa WMO, Dkt. Agnes Kijazi asisitiza umuhimu wa kuchukua hatua katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ili kupunguza athari zake ikiwa ni pamoja na ongezeko la matukio ya hali ya mbaya ya hewa