Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Habari

  • Ziara ya wageni kutoka Sirra Leone

    Imewekwa: 13th June, 2018

    Ujumbe kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Sierra Leone umefanya ziara katika ofisi za TMA, lengo likiwa ni kujifunza namna bora ya utoaji huduma za hali ya hewa kwa jamii ili kuboresha huduma zao. Ujumbe huo uliambatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya uchukuzi anayesimamia huduma za hali ya hewa nchini Sierra Leone, Mkurugenzi Mkuu kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Sierra Leone na wajumbe wengine wa nne kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga, kitengo cha Maafa na kitengo cha huduma za maji. Kwa picha na maelezo zaidi tembelea blog yetu: http://meteotz1950.blogspot.com/

  • Weather by Region

    © 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.