Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

ISO 9001:2015 Certified in Aviation Meteorological Services

Matukio

 • 23/03/2019

  Mahali : TANZANIA

  HADHIRA : Wananchi wote

  KUHUSU TUKIO

  Katika kuadhimisha siku hii kwa mwaka 2019, TMA itatoa elimu kwa jamii hususan kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na wananchi kwa ujumla kupitia vyombo vya habari na kufundisha mashuleni na pia kuelimisha watakaotembelea vituo vya hali ya hewa.

  Kauli mbiu ya maadhimisho haya kwa mwaka huu wa 2019 ni "Jua Dunia, na Hali ya Hewa ( The sun, The Earth, and the Weather)".

  Kauli mbiu hii inalenga kutoa elimu kwa jamii na kuongeza uelewa wa

  sayansi ya hali ya hewa, hususan maandalizi, usambazaji na matumizi ya

  taarifa za hali ya hewa.

 • Weather by Region

  © 2019 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.